Leo wengi wanatamani wawe Faru John! tunafahamu tunako elekea!?

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,755
7,684
Siamini tena wana siasa, hata unaye mdhania vile sivyo inavyokua kila mmoja anabeba nia yake binafsi.
Niliamini sana Rais wa awamu ya tano kuwa Rais wa wanyonge kama alivyo jipambanua na hali imekuwa sivyo hakuna Mwana Siasa mkweli.
Ukipita mitaani hali ni mbaya zaidi kila kitu bei juu Unga kilo 1600 Sukari 2200 hakuna uhakika wa kupata hata mlo mmoja kwa siku

Magonjwa ya utapiamlo yamerudi kwa kasi hali ni mbaya .

Ukiona anaye jenga nyumba na kuishi vizuri huyo yupo jeshini.


Matumaini yametoweka ma Benki hayana pesa hayakopeshi.

Sielewi tu naenda wapi na naamini hata wanaotuendesha
Hawa fahamu tuendako jahazi linazama,.




Leo hii MTU u natamani kuwa faru john uwe na thamani
 
Me mke wangu nimembadirisha jina anaitwa Faru Khadija... Alafu mimi najiita Faru John ...naomba jina la mtoto tutake mzaa... Atakuwa .....????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom