Chadema 2030
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,916
- 3,747
Braza humu kumebadilika sana blazaπ€π€π€
Usheleta kiu ya pombe bwasheeNgoja kwanza ninywe hii whiskey cola nikishalewa atajileta niliyemhamu!..
weekend hiiUsheleta kiu ya pombe bwashee
Unyama sana , hapa nimelala nimesikia pombe nikajigeuza nikavuta uvunguni kamzinga ka vodkaπweekend hii
Hapo tafuta ka glass kenye barafu changanya na ginger beer utaiona Slovakia hii hapa...π€£Unyama sana , hapa nimelala nimesikia pombe nikajigeuza nikavuta uvunguni kamzinga ka vodkaπ
Nimepunguza heka heka mwezi wa toba upite kwanza π πC.c Binti wa zamani na heka heka zake kama kuku mtea
Hallelujah π₯Nimepunguza heka heka mwezi wa toba upite kwanza π π
Hallelujah π₯
Ukimaliza mfungo unione nimeokota 200 millions tutafute pa kuzitumia ziishe
ππππHapo tafuta ka glass kenye barafu changanya na ginger beer utaiona Slovakia hii hapa...π€£