hapa nilipo ni full japo jtatu walikata k dk kumi hivi
poleni sana mkuu pia vumilieni kidogo maana gesi imeshaanza kutengeneza umeme kinyerezi one. Muda si mrefu mambo yatakua vizuri i hope so
piga emergency waulizeNi ajabu kwangu hadi muda huu hawajaukata,kweli mwalimu anaheshimika na kila mtu hadi wazee wa kumulika maisha yetu wamejitahidi kumuenz kwa kutuachia huduma yao,vip wakuu huko kwenu upo leo hawajaukata?
hapa nilipo tunazini tu mchana wa jua kali sababu feni zinafanyakazi saa 24 tangu magufuli apge mkwara kwa wanaokata umeme kule arusha