Leo umeme wametuachia, vipi ulipo upo?

Leo umeme wametuachia, vipi ulipo upo?

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,947
Reaction score
2,033
Ni ajabu kwangu hadi muda huu hawajaukata,kweli mwalimu anaheshimika na kila mtu hadi wazee wa kumulika maisha yetu wamejitahidi kumuenz kwa kutuachia huduma yao,vip wakuu huko kwenu upo leo hawajaukata?
 
Wapigie uwakumbushe wakate
 
leo upo siku nzimaaa,..hadi natetemeka,ebu nipige pasi wasije kata usiku
 
Mmeshaambiwa mitambo ya gesi inawashwa! Na mwisho wa October itawashwa yote, then mgao utaondoka kabisa!
Pamoja na suala la mitambo ya maji kuleta mgogoro, ila utakatika kwa nadra sana
 
Hapa eneo la Nyakato national Mwanza umeme Leo kama bahati ya mtende naamini tanesco watakuwa wamesahau kukata
 
Ni ajabu kwangu hadi muda huu hawajaukata,kweli mwalimu anaheshimika na kila mtu hadi wazee wa kumulika maisha yetu wamejitahidi kumuenz kwa kutuachia huduma yao,vip wakuu huko kwenu upo leo hawajaukata?

Mbona nilipo mimi ni wiki ya pili sasa twaelekea ya tatu, umeme upo full? Ni hapa Dar tena wala sio ushuani.
 
Mbona nilipo unawaka full wiki ya pili sasa

Mkuu ni wapi huko?? Nilipata hasara ya bajeti nzima ya mwezi. Zaidi wala si ile nyama kwani nakiri nilikula nikajitahidi pamoja na familia tukala mboga nyingi tulivyoweza ili tuwe tukiangalia picha ya steak iliyo ukutani.
Tatizo ni pale ilipoanza kunuka bila watoto kujua pindi nikiwa nje na mamsapu. Dah! Tumerudi kasafwari tulidhani tumeingia toilet ya stendi kuu chemba ikiziba. Numba haikulalika siku 2.
Tumekuwa tukipewa sasa kidogo nafuu kwani tukiuona mchana usiku haupo sasa ni zaidi ya mwezi
 
Back
Top Bottom