Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Weekend mm now sitokgi watu wanakuwa wengi sanaSi tulikubaliana out ni Weekend Mkuu 😎
😅Kwahiyo ukaona siku yako iwe Monday?Weekend mm now sitokgi watu wanakuwa wengi sana
Kabisaaaaaa ujakosea na si unajua nimetok pori 😂😅Kwahiyo ukaona siku yako iwe Monday 🥹?
Kabisa injoySafi sana maisha yenyewe mafupi
Hahaha Uhakika 😂, anyway EnjoyKabisaaaaaa ujakosea na si unajua nimetok pori 😂
cocktail zina pombe mkuu, au unamaanisha mocktail?situmii pombe kabisa nikaagiza coctail
Ahahha nachanganyagaMocktail nawe Mwachi bhana 😹😹
Ni moctail 😂cocktail zina pombe mkuu, au unamaanisha mocktail?
hongera kwa mtoko.
😂Hahaha Uhakika 😂, anyway Enjoy
Usimtag mama parokwo angu Kelsea