amu
Hebu panda ile chombo cha kisasa fika hapa Milestone Park na Mtambuzi Arushaone marejesho Filipo PakaJimmy Mwanajamii one Mzee wa Rula Erickb52 na hata wengi wote wa hapa A town.
Tunakusubiria wewe tu! Kuja kipande hii ufurahie maisha!
Natafuta mwaliko ila nimefulia. Ntakuja na konyagi yangu jamani, msinisahau tu lifti ya kurudi home manake nnazimikaga. Naomba kuwajoini...
msalimie wifi
jamani
Kipaji Halisi embu njoo jamani si unajua Mtambuzi yupo makalio bar na Arushaone na Preta.
Swahiba Paloma dah hapatikani pole sana kwa msiba wa mama Madame B kakamatia pedeshee na simu kazima.
My love wa zamani KakaKiiza kakwama kwenye foleni.
watu8 alishatuasi zamani sana he he he wakati naandika Vin Diesel anatia maguu.
Asprin anaifakamia govinda kumar sijui anaipendea nini eti Mentor unaweza nisaidia huyu mzee anaipendea nini hiyo makitu.
ladyfurahia unakumbuka juzi uliniahidi nini?
Mwisho manoah karibu azam juice maana hapa mwanachama wa hiyo kampuni nipo peke yangu
ucjali maombi anafungua ladyfurahia
kuna muda wa maombi nije?
wabongo bila kwenda bar siku haijakamilika bado
mwenzenu nilikuwa nashinda huko huko siku hizi
nimepumzika sana.
sikuweza kuja best wangu kwani nilkwenda kwenye msiba wa figganigga hivyo naomba unisamehe best na ile juzi nilibanwa makazi si unajua tuko nusu mwaka ndo tunapamba na maisha ili tuje kusherekea uzeeni bestito?