kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,089
Fani yako ni kubeti. Kama hujui Hip hop bora tu ukae kmyaFid aliwahi kusema hakuna msanii wa bongo anaeweza kupanda na bit yake ajitokeza stamina akapanda na ile ya mwanza mwanza mbona fid alikubali, hiv haujawahi kuwaona wakipambanishwa jukwaani alafu anapandishwa mrembo wamchane vocal marakibao fid anachemka kwa yule dogo.