Leo Taifa Stars anafungwa 2-0 na Zambia.

Zambia iliyochukua Kombe la Africa ilijalishwa hapa hapa.wakiwa na Kalaba,stopila ,katongo na hakukuwa na timu mzuri kama hii. Naona tunawatoa Hawa
 
Ngekewa na bahati na sibu za timu ya Taifa ya Tanzania inatarajiwa kufika kikomo hapo leo nchini South Africa.

Timu hiyo inayojinasibu kutokupokea kichapo tangu kuanza kwa Michuano hiyo ya CECAFA. Itaingia dimbani Leo saa 12 jioni ikimenyana na Taifa la Zambia ambalo limeonekana kujaa vipaji vya hali ya juu kabisa kwenye michuano hiyo.

Ukizingatia ukali wa safu ya ushambulizi ya Zambia yenye ufanisi wa kufunga kwa asilimia 81%, sioni namna ambayo safu ya ulinzi ya Tanzania iliyosheheni vijana wasio na weledi kuweza kuwazuia hawa watu.

Mpaka mchezo unakwishwa natarajia kuona Matokeo yanayoipa tiketi Zambia ya kushiriki fainali hizo.
FT: Zambia 2 - 0 Tanzania.

Kuwa mzalendo maana yake kuwa tayari kuyapokea na kuyanena yale ambayo Moyo hauko tayari kuyanena.
Toa utabiri mwingine 2-0 ishafeli
 
Kwani wewe mganga wa kienyeji!
 
Tuipende nchi yetu,leo inakabiliwa na litmus test ya mashindano haya,maana kuifunga SA,tulishangilia mediocrity,maana tuelewe kuwa mashindano haya hayapo kwenye FiFA calendar,and because of democracy na sheria zinafanya kazi ndani ya SA,vilabu havikulazimika kuachia wachezaji wao nyota kujiunga na timu ya taifa,tumeifunga timu B ya SA,kumbuka timu yao A iliifunga NIGERIA kwao 2-0,kwenye mashindano yaliyondani ya fifa calendar.nasi tumepeleka our best na Zambia nao,mechi ya leo itakuwa nzuri,TZ 2 ZAM 1.
HalfTime Results:

Back
Top Bottom