Kwani ndugu zake wa damu au wale watoto wake wa kambo(anao walea), watatoshea kwenye wizara zetu?
Mnajua mawaziri wanavyopatikana?
Na kitendo chochote na kuvuruga jinsi mawaziri wanavyopatikana nchi hii, atazidi kujichafua zaidi.
Kuongoza nchi sio kazi rahisi, ya kusema, mupe huyu, huyu muruke!