Wakuu tuliokulia maisha ya kuisikia kauli hii toka kwa wazazi wetu tukutane hapa tufarijiane.
'Mama ametoka Kiboruloni kununua Mtumba wa Sidiria. Kazileta home,tumezifua na kuzipasi kwa moto wa mkaa, kisha huyoo kazipeleka kijiweni kwake..
Anarudi jioni na kusema "wanangu leo sijauza hata! Hakuna hata aliyeulizia bei!".'
Mara nyingi nikiona wafanyabiashara mjini wakionyesha sura za hudhuni, huwa natarajia kuwa watoto wao wataisikia kauli hiyo jioni!
Namshukuru sana Mungu kwa ajili yako Mama Yangu as a Single mom you raised me to this greatness.
Maisha Marefu Kwa Wazazi Wote Wawajibikao kwa watoto wao. Amina.