Leo nimewaonesha jeuri benki ya NBC

hazole1

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
4,319
3,916
Kuna bank moja ya nbc ipo huku kwetu na sitaitaja mahali ilipo ili kama zipo bank zenye tabia kama hii bank hizo zijirekebishe haraka sana na bila kufanya hivyo hizo bank zitakuja kubaki ni sehemu za historia. kwamba hapa kulikuwa na bank ilikuwa inaitwa nbc na haitakiwi msubili ije itokee hivyo wakati wa kujilekebisha ni sasa.

Hiyo bank ninayoisema inafanya kazi kimazoea sana na wanafanya kazi kama ni mwaka 1947 ambapo kukaa masaa 2 kwenye foleni ni kitu cha kawaida na wakati huo saizi ushindani wa kibiashara umekuwa mkubwa. watu wanataka kupata vitu kwa haraka na kwa urahisi zaidi.

mm ni mvumilivu sana lakini hii bank imenishinda. na mara nyingi ninapo ona makosa huwa sipendi kuzungunza najua hiyo ni bahati mbaya huenda ipo siku watajilekebisha. lakini naona ndio wanazidi kuwa sugu. na unakuta siku zingine naenda kutoa pesa kwenye mida ya saa 5 asubuhi na ninakuta pesa hamna hadi nikapange foleni hadi saa saa 7 mchana. na wakati huo nikipiga hesabu saizi mtu ukienda kutoa hela m pesa dakika mbili nyingi.

na nikajiuliza kwanini kila siku niwe ninahangaika na bank moja na wakati huo mm ndio ninawafaidisha na nikiwa bank mara wameandika zima simu. yani mm kazi zangu zilale wakati nipo kwenye foleni.
na huo bank ni nyingi zinatafuta wateja na wanawafungulia watu acount bure na unachagua unafungua acount gani kama ni acount ya akiba hawakukati hata sh. 10.

na nikawaza hawa wanafanya hivi kwasababu huwa hawajawahi kuonyeshwa action wamezoea kunyenyekewa.
na nilicho fanya leo nimeenda kutoa pesa zangu zote na kuwaludishi kikadi chao na nikawaambia leo nimehama bank yenu rasmi kwasabu sijaridhika na huduma zenu. na nikawa naondoka na sikutaka kuwapa maelekezo zaidi.

malengo ya kufanya hivyo ili bank ya nbc wajitathimini upya vile wanavyo fanya kazi. na kuondoka kwangu huenda hao walio baki kutawafanya wapate huduma bora. sio bora huduma.
 
Kufunga au kufungua account ni jambo la kawaida kwenye bank.
Kama hujawaambia hujafanya lolote, ilitakiwa umwine meneja umweleze udhaifu wao.
 
Bank ya NBC

Niliwahi kwenda ku Draw 30M pale Moshi nilijuta eti nisubirie fax ya confirmation kutoka Corporate Branch nilipo deposit, it took 4 hrs.

Nilienda tena ku deposit kama 4M pale Kigoma karibu na Railway Station nikashangaa eti huwa hawatoi Print out ya ile deposit slip anakuandikia tu kwa Mkono na muhuri nikamkoromea kuwa nasafiri the same day nitaamini vp Kama iememfikia muhusika ndio akajua Mie sio Muha akanipa print out yangu.
 
Hakuna kitu kinaniuzi NBC kama confirmation kutoka branch uliyofungulia a/c ili upewe pesa hiyo confirmation inaweza kuchukua hata masaa 3 unasubiri
 
Kufunga au kufungua account ni jambo la kawaida kwenye bank.
Kama hujawaambia hujafanya lolote, ilitakiwa umwine meneja umweleze udhaifu wao.
niliona lazima kuna watu wamewahi kuwaonya ila hawakuwa wasikivu.
nikaona cha muhimu sisi wengine tuwe tunapungua.
 
Nbc for real ni ovyo sana. Nlishawahi subiria confirmation ya 7m kwa masaa matatu. Ovyoo
 
Kuna bank moja ya nbc ipo huku kwetu na sitaitaja mahali ilipo ili kama zipo bank zenye tabia kama hii bank hizo zijirekebishe haraka sana na bila kufanya hivyo hizo bank zitakuja kubaki ni sehemu za historia. kwamba hapa kulikuwa na bank ilikuwa inaitwa nbc na haitakiwi msubili ije itokee hivyo wakati wa kujilekebisha ni sasa.

Hiyo bank ninayoisema inafanya kazi kimazoea sana na wanafanya kazi kama ni mwaka 1947 ambapo kukaa masaa 2 kwenye foleni ni kitu cha kawaida na wakati huo saizi ushindani wa kibiashara umekuwa mkubwa. watu wanataka kupata vitu kwa haraka na kwa urahisi zaidi.

mm ni mvumilivu sana lakini hii bank imenishinda. na mara nyingi ninapo ona makosa huwa sipendi kuzungunza najua hiyo ni bahati mbaya huenda ipo siku watajilekebisha. lakini naona ndio wanazidi kuwa sugu. na unakuta siku zingine naenda kutoa pesa kwenye mida ya saa 5 asubuhi na ninakuta pesa hamna hadi nikapange foleni hadi saa saa 7 mchana. na wakati huo nikipiga hesabu saizi mtu ukienda kutoa hela m pesa dakika mbili nyingi.

na nikajiuliza kwanini kila siku niwe ninahangaika na bank moja na wakati huo mm ndio ninawafaidisha na nikiwa bank mara wameandika zima simu. yani mm kazi zangu zilale wakati nipo kwenye foleni.
na huo bank ni nyingi zinatafuta wateja na wanawafungulia watu acount bure na unachagua unafungua acount gani kama ni acount ya akiba hawakukati hata sh. 10.

na nikawaza hawa wanafanya hivi kwasababu huwa hawajawahi kuonyeshwa action wamezoea kunyenyekewa.
na nilicho fanya leo nimeenda kutoa pesa zangu zote na kuwaludishi kikadi chao na nikawaambia leo nimehama bank yenu rasmi kwasabu sijaridhika na huduma zenu. na nikawa naondoka na sikuta kuwapa maelekezo zaidi.

malengo ya kufanya hivyo ili bank ya nbc wajitathimini upya vile wanavyo fanya kazi na kuondoka kwangu huenda hao walio baki kutawafanya wapate huduma bora. sio bora huduma.
Mimi foleni zao zilinishinda tokea mwaka 2010, nikahamia bank nyingine hawanioni tena huko kuna kipindi walinipigia simu nikawaambia nimehama bank yao unakuta kuna vyumba vya teller saba halafu yupo mmoja tu anahudumia vingine havina watu.
 
Hata mimi nilienda NBC tawi la Musoma, nilisimama kwenye msitali masaa manne bila sababu za msingi, madilisha ya kutolea huduma yapo matano lililokuwa likihudumia ni moja tu .
 
Ha ha ha niliwatoa baru huko moro mpk meneja akaja na kushangaa hivi kuna nini jameni, ilikuwa mwaka 2009 tangu hapo nikiona utepe wa lile benki najisikiaa kinyaa sna na ole wako nifahamu we ni mteja wao hata gari yangu usipande sitaki kabisa
 
duhhh..

mm nikadhani, kuna kitu kikubwa ulifanya zaid ya hcho ulichotaja..

kila la kheri mdada, mm huwa naenda kushtaki kwa mamenager wao, nikiona hvyo hvyo nachukua hatua
 
Back
Top Bottom