Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
[emoji23][emoji23]Koma
Pole sana hao wadudu ni hatari sanaAcha tu hawa wadudu!
Nimepita chini ya mzinga wa nyuki nikatikisa tawi. Acha waje kwa kasi aisee. Wanang'ata huku wanapiga kelele au sijui wanashangilia..
Walijipinda mno usoni na kwenye masikio na shingoni. Wengine walikuwa wanaingia ndani ya tshirt na suluari. Nilivua nguo nikawaachia! Nilijikuna na kuchomoa visindano vyao karibu saa nzima.Nimechukua nguo na ndo nafika home ila nahisi maumivu makali sana.
Achana na nyuki aisee!
View attachment 714883
pole sana,ungelala chiniUlikumbuka kweli kuvaa tena hizo nguo?
Vipi mkuu, mbona wanitakia hatari alopata mleta uzi?pole sana,ungelala chini
Huyu jamaa ana drama kibao, simuamini hata kidogo.Wewe unaishi kwenye hifadhi au? Mara nyoka kaingia ndani, mara nyuki wamekufanyia kitendo.. Hamia mjini.
Wewe unaishi kwenye hifadhi au? Mara nyoka kaingia ndani, mara nyuki wamekufanyia kitendo.. Hamia mjini.