Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,369
- 100,419
Kokoo wa Jukwaa ππββοΈMkongwe sana
HongeraNamshukuru Mungu aiseee, nimekua hapa kwa miaka 15 sasa, wengi tulioanza nao wametangulia mbele za haki na wengine wamebadli ID. Ni jambo jema sana kwangu. Ni siku pia yenye matukio mengine makubwa ya kibinafsi.
Asanteni kwa Marafiki wapya na connections za kutosha. Long Live JF
Asante sana nduguHongera
Shukrani tajiri yanguKongole boss
Marahaba ShangaziShikamoo mjomba
Sio kiivyo, bado nadai!Mkongwe sana
Halafu next week nakuja Tena, usinikimbieKokoo wa Jukwaa ππββοΈ
Mungu akubarikiMimi 2027 nitakuwa na miaka 10
Hahaha tumetoka mbaliHeko mkongwe wa JamboForums...
Mara chache mno, sidhani kama inafika kumi, maybe Tano hivi. Sina kumbukumbuTueleze umekula ban mara ngapi-