falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,213
- 9,334
- Thread starter
-
- #221
Wambie wakupikie injara na fresh meet na uwambie konjoo au madem ni wazuri sanaa ila tatizo wapenda sanaa pesa zaidi ya mapenzi ya kweli ndio wanaongoza kwenye falme za kiarabu kwa kujiuza
Wewe huwezi kushindwa kufanya hivyo, maana hupitwi na vitu vizuri vizuri kama hivi.
Kwa kweli wanavutia....ntaenda hata kwa baiskeli...kama yule chalii wa Arusha anazunguka dunia kwa baiskeli mi ntashindwa hapo Ethiopia tu? Najua ntapata tabu njiani ila reward yake nikifika ntasahau shida na mimba zitatungwa...
Mkuu usinifanye nichukue mkopo FINCA leo hii😕
na dada zetu wa dar wanapenda nini ?
.....Hapo sasa
Hao dizaini ya Angola wanaitwa wa Mulato, wako kama Latino!. Hilo la mishepu ni mambo tuu ya atitude of mind, Baganda ni habari nyingine!, tena ili ku add value kwenye soko la Dubai, kila binti anajiita Baganda!, nilikutana na mbongo, kule anasifika ni Baganda kumbe hakuna cha Baganda wala nini ni mbongo tuu hadi kwao napafahamu!.😕wana nini cha ziada hao baganda mdau, au mishepu maana ndo ugonjwa wangu, waethiopia, wasomalia, na watusi naaminia, ila shepu liwepo bila shepu hata bure cchukui, waangola pia sheeda
Hao dizaini ya Angola wanaitwa wa Mulato, wako kama Latino!. Hilo la mishepu ni mambo tuu ya atitude of mind, Baganda ni habari nyingine!, tena ili ku add value kwenye soko la Dubai, kila binti anajiita Baganda!, nilikutana na mbongo, kule anasifika ni Baganda kumbe hakuna cha Baganda wala nini ni mbongo tuu hadi kwao napafahamu!.
Pasco
Huyo kijana hayo ndio mambo yake.........Mkuu Katavi nimecheka sana jamaa anatisha