falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,213
- 9,334
weka na picha za warembo wa addis tafadhali
hapa afrikast wakumwaga,mashombeshombe tuu,sijui mungu kawa umbaje,wazungu si wazungu,waarabu si waarabu,waafrika si waafrika,halafu hawana matiti makubwa kama dada zetu wa tz
nimepata habar za karatu ,huko kuna wairak kama skosei
Hao ni waisrael mkuu. NI mabaki ya waebrania.hapa afrikast wakumwaga,mashombeshombe tuu,sijui mungu kawa umbaje,wazungu si wazungu,waarabu si waarabu,waafrika si waafrika,halafu hawana matiti makubwa kama dada zetu wa tz
Hii mikorogo ndo inawaharibu!!
Check rangi ya miguu na uso.
Hii mikorogo ndo inawaharibu!!
Check rangi ya miguu na uso.
Sio mkorogo mkuu.. Wamevaa kitu wenyewe wanaita leggingsHii mikorogo ndo inawaharibu!!
Check rangi ya miguu na uso.
umetisha mkuu ngoja tusubirie za falcon mombasa