Leo nimepiga mwanamke

Ma group ya whatsapp haya wake zetu wanadanganyana tu ...
 

Sitetei kupiga ... Ila kutukaniwa mams inauma sana! Mimi sio mke tu mtu yoyote anitukanie mama yangu.. Tunagombana aisee
 

Kulikuwa na thread kwamba wanawake wao kule rombo hukodisha wanaume wa kenya! Huo ni udhaifu tosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…