Hapo ndo anapowazia kuwa hajawahi mwambia mtu chochote na leo kampiga inamaana akienda shitak hatakuwa na cha kujitetea na mwanamke ataonekana hana hatiaWazazi wahusishwe sio kitu kidogo hicho na hiyo ya kupenda kukaa kimya itakuponza
Duh kweli hapo tatizo siyo ukurya mana c kwa kiburi icho
Hata me nimemwambia huyo anachepukaatakuwa anachepuka tu, hivi mpaka saa 5 hajarudi nyumbani ! da huyo anastahili kipondo tu
hakikisha una mkanda wako mzuri wa ngozi,mimi kwangu wote huwa ni bakora tu kuanzia wife,house girl na watoto,yaani wote wananiheshimu ile mbaya.usimpige kichwani mkuu utaenda kugombaniwa segerea muda sio mrefu.Jamaa yangu kanisimulia
:=> Kwa asili mimi ni kurya lakini modern one....nimekua tangu utoto mpaka umri huu katika famili yenye upendo na amani.
Pamoja na wazazi wangu wote kuwa wakurya haijawah kutokea baba akanyanyua mkono wake kumwadhibu mama hata wakati mwingine nilipoona mama anakosea na alipaswa kuadhibiwa.
Kutoka na upendo wa baba nilijikuta na mimi nikijiwekea malengo ya kutonipiga mwanamke wangu kabisa maana baba alishaniambia kupiga sio suluhisho la matatizo
Baada ya kuoa nimeamua kuwa na tabia kama ya baba.....mpole na mpenda familia yangu....nimefanya hayo ili niwe na happy family kama ya baba yangu
Kwa siku za karibun mke wangu amekuwa na kiburi sana jaman.....ananijibu kunya na sometime anafikia kunitukana mbele za watoto na hata wageni.
Nimeshamkanya sana anahid kubadilika lakini binti wa kichaga huyu kadri siku zinavyosonga ndo anazidi kuwa matatizo
Kwa bahati mbaya sipendi kabisa mambo ya kusuruhishwa kwa sababu naamin mnapakuwa wamoja basi ni vizur mkigombana mnayamaliza wenyewe na sio kila mtu ajue...kwa maana hiyo sijawahi peleka shitaka kwa mtu yoyote yule.
Jana usiku amerudi sa tano usiku na kunikuta nishawapikia watoto wamekula wamelala
Akanikuta sebulen naangalia tv huku namsubiri....nilipomuuliza kiupole kuwa ametoka wapi? Muda huo
Alinijibu vibaya sana ambavyo hata siwez kuelezea....nilijikuta nafukuta kwa hasira za ndani ila nikajicontrol na kwenda kulala
Sasa tatizo akaja chumbani na kuendelea kunitolea lugha chafu....mpaka akafikia kunitukania wazazi....nilijikuta hasira imenishika sana nikampiga kofi moja mpaka akalamba ardhi.
Alipoinuka akaja ili tupambane....aiseee nilimpiga kipigo cha mbwa mwizi maana nilipokuwa nikitaka tuache kupigana ye nd anazidisha
Mpaaka sasa kalala analia tu hata uwezo wa kuamka hana.
Kiukweli nashindwa cha kufnya maana hata akienda kushtaki sina cha kujitetea maana sijawah ripoti mabadiliko yake kwa yoyote..
Nishaurini nifanyeje? Na bado nampenda?
Zingatia sio kwa sababu ni mkurya ndo maana nimepiga hapana hata ungekuwa wewe ungefikia nilipofikia
Tumpe ushaur wakuu atausoma
Jamaa yangu kanisimulia

Kugombaniwa segerea una maanisha nini mkuu msemakweli?hakikisha una mkanda wako mzuri wa ngozi,mimi kwangu wote huwa ni bakora tu kuanzia wife,house girl na watoto,yaani wote wananiheshimu ile mbaya.usimpige kichwani mkuu utaenda kugombaniwa segerea muda sio mrefu.
Ushauri gani huu?wewe huna hata mke mojaKuna mtu anamti a kiburi mkeo mchunguze vzur mkeo huyo kakosa adabu ila usimuache,chunguza simu yake na nyendozake utajua kitu.
Usiseme anastahili kipondo... jiulize kwann anachepuka wakati hakua Na tabia hiyoo?? Inaonekana ameanza mda si mrefu. Labda mwanaume ndo tatizo.[emoji18] there must be a very big reason behindatakuwa anachepuka tu, hivi mpaka saa 5 hajarudi nyumbani ! da huyo anastahili kipondo tu
Msiwahusishe wazee kwanza... anzeni ninyi mkiona ngumu go to another stageHapo ndo anapowazia kuwa hajawahi mwambia mtu chochote na leo kampiga inamaana akienda shitak hatakuwa na cha kujitetea na mwanamke ataonekana hana hatia
Kakuambia nani kichapo kinafundisha???unawajengea roho ya woga Na sio heshima.. stop that n change mkuu..it's not a proper way of treating ur famil[emoji35]hakikisha una mkanda wako mzuri wa ngozi,mimi kwangu wote huwa ni bakora tu kuanzia wife,house girl na watoto,yaani wote wananiheshimu ile mbaya.usimpige kichwani mkuu utaenda kugombaniwa segerea muda sio mrefu.
Mwambie aache kukaririSasa hapo mambo ya wanaume wa dar yanaingiaje mkuu? Kama huna cha kucoment sina unapita Kmya
Mwanaume ndo anakipato kikubwa maana anamiliki biashara na mkewe kamfungulia duka la vifaa vya ujenziKati yako na mkeo ni yupi anapata kipato kikubwa??..maana nimeona wewe ndio wapika..!
Katika hali ya kawaida kabisa huyo mkeo ana kajamaa kake nje ndio kanafanya hadi wewe unadharaulika..