Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,869
- 16,913
Siku ya leo nliianza na kuchelewa kazini. Nimeondoka home nikiwa na haraka kidogo. Nmefika njia panda kabla ya kuingia barabara kuu kukawa na kafoleni kiasi. Nikiwa nimesimama vioo juu.dada mmoja mrembo sana akaja akagonga dirisha.nikashusha.
Akanisalimia akitabasamu kuwa na kuuliza naenda wapi.nikamwambia posta akasema anaomba kama sitojali nimpatie lift. Nikasema sawa. Haraka akafungua mlango na kuingia. Alivaa sketi fupi ana mapaja mazuri, ana rang ya chungwa lililoiva vizuri. Ni mzuri kwa kila idara.
Alipoingia alikuta nasikiliza radio moja fm ya dini... Akasikiliza kidogo akabadili akisema anataka kusikia magazeti.sikupenda jambo hilo. Akaweka radio zao hizi za kipuuzi. Nikiwa natafakari kitendo hicho akauliza hili ni gari gan nikamjibu akasema yeye ana BMW ila mdogo wake kaazima jana hakurudisha.akamwambia atamletea kazini.
Huyu dada alikuwa amechangamka kama katiwa ndimu.akaanza kunambia biashara zake na pia anasikitika hana mtu wa kushauriana naye.na ameniona mimi ni kijana mtulivu nina hekima anapenda tuwe karibu.
Akafikia hatua hata ya kunirekebisha tai ilikaa vibaya. Wakat huo wote sketi yake imepanda juu hasa . anabadilisha level ya AC. Mara anarekebisha seat mara anaangalia nina CD gan pale garin...ikawa kero kweli kweli.
Akaomba achukue biz card yangu aliiona pale kwenye dashboard kabla sijajibu akaichukua na kuiweka pochini mwake.huko kukatokea manukato mazuri kweli. Gari zima likanukia marashi yake.
Nikaanza jisikia hamu ya kufanya mapenz.akaendelea kujiachia na kujiweka karibu nami...story zake zikahamia kwenye mahusiano na akawa anasema yeye ana miaka miwili hata hajananii...wanaume wa siku hizi hawana mapenzi....wakat huo huo anajirahisi kwangu... Kiukweli dada mzuri sana.mrembo umbo namba nane,rangi adimu na sura nzuri asikwambie mtu.
Akisema umpe gari au nyumba unampa bila kusita. Huyu dada alitaka tuonane mchana anitoe lunch. Nikamkubalia tu kweli saa saba akapiga simu yupo hotel flan katkat ya jiji niende kuna buffet. Akanambia niombe ruhusa ili tukae kidogo baada ya kula anipe story kadhaa za pesa na maisha.Hapo ndo nikajua huyu dada ni shetani si wa kawaida.
Haiwezekan akawa binadamu , ni ngumu si kwa uzuri ule na kujirahisi kwangu. Anataka kunila nyama au kuninywa damu? Nampenda mke wangu.