Ile kitu hata kwa macho tuu unaona maprotini.... Joking!Ulitumia kipimo gani kujua kuwa ni nutritious papo kwa papo,sili hata unipige,unajua hii kulakula kila kilichokaangwa vizuri ndio maana baadhi ya wachina wamefikia mpaka kula nyama za watu..
Pole Mangi, najua tatizo ni kuwazoea na kufuata taratibu! Kwa Tz ukiwafuga hukawii kuitwa mwanga!Hivi mleta mada hawa nyoka unawapendea nini??? Maana kila siku tufuge tufuge....
Ningekuwa na Muda ningetoa ushuhuda wa namna hawa wadudu walivyonigharimu juzi.
Hata poisonous snakes si kwamba mwili mzima upo na sumu! Sumu ipo kwa buds au chini ya meno ambapo akii-secrete ndo inakuwa shida, so ukicontrol huo Mfumo unamtafuna vizuri tu!Inaweza kuwa kweli,cause Kule kwetu ziwa Nyasa Kuna ndugu zangu Kule wao wanakula mamba nyama INA ladha ya samaki,wanachofanya kuitaarifu serikali ichukue nyongo ya mamba kwa sababu ile sumuu mbaya inaua dakika tu,na kwa sasa mamba hawapatikani ,zamani walikuwa ni shida walikuwa wanauwa watu yaani kougelea ni kwa timing,ukiona gogo jeusi chini mnajishauri kuoga,lakini kwa sasa shwaaaaari ni kuogelea mpaka kuchoka