Leo nimekula nyoka, mtamu!

Usitufanye sisi wajinga.
Kama kweli umekula na mara yako ya kwanza bila shaka ulipiga picha msosi wakati mnakula.
Huna lolote. Hizo picha hapo juu zipo google hata mimi naweza kuzijaza hapa.
Acha kutufanya sisi wajinga.
Wewe ni Muongo tu
 
Mkuu ingekuwa vema kama ungeweka picha za nyama hiyo badala ya hayo majoka mazima ktk post yako.
 
Mkuu hii kitu huwa naitamani sana kuila. Ni wapi hapa bongo naweza kupata kitoweo cha nyoka? Nazungumzia hoteli au cafe yyte
 
Magu alivyobana, nawaza kuanza kula MENDE! najua ctapata washindani wengi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…