Leo nimekaaa.., Nimetafakari kwa kina.....

Leo nimekaaa.., Nimetafakari kwa kina.....

Mkwawe

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2016
Posts
3,210
Reaction score
5,680
Wadau kama hatukuomba idhini ya kuja duniani basi pia hatuna idhini ya kuomba kuondoka kwa matakwa yetu.. Bali yake yeye aliye mkuu wa vyote...

Hali ni mbaya kwa mambi mengi, rasilimali wanaume kwa sasa inapotea indirect ila itafika wakati wanaume watakuwa
adimu sana hadi wakipta njiani watashangawa
 
Ni sahihi viumbe wa kiume wataenda kuwa adimu sana hapo badae ,ko wanawake punguza wivu pale mumeo anapo msave na kumstiri mwanamke mwenzako
 
Naona hata bandani kwangu always mitetea ni mingi jogoo chacheee 🌚
 
Back
Top Bottom