Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,085
- 8,409
wapi huko aiseenije kukusanya mzigo?
acha upotoshaji papii,hilo sio jalala mzazi,hiyo inaitwa JUNK-YARD,jamaa anakua anamiliki eneo la kukusanyia bidhaa zenye hitilafu au zilizo njeya fasheni kwa kuzinunua kutoka kwa wamiliki kwa fedha kiduchu ama kuzichukua bure kabisa na kuziuza kama second hand goods, au kwa ajili ya recycling.
you heard!
Kwa Bongo hizo mpya sana.
Jiji halina jina?Jalala lipo jiji moja hapa Australia