Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,674
Jiheshimu we jamaaNimeshatia timu.
Jiheshimu we jamaaNimeshatia timu.
😅😅😅 Pole mkuuHiyo namba kumi na tisa (19) nimecheka sana nikamkumbuka rafiki yangu Zebedayo alikuwa akiwa ananidai anaweza kunipigia simu hata mara mia mbili ili nimlipe 😀😀
Sasa nilikuwa nikiona simu yake basi najua kumekucha naichukua simu naiweka chooni naendelea kujichezea huko sebleni sina habari nayo maana najua ana masaa mawili ya kupiga inakata anapiga tu
Mimi naheshimiwa hadi mamodi wa JF mkuu.Jiheshimu we jamaa
Mfano ni mod gani anakuheshimu ww ahahahaMimi naheshimiwa hadi mamodi wa JF mkuu.
KukiMfano ni mod gani anakuheshimu ww ahahaha