Leo ni Wizara ya Magufuli

Leo ni Wizara ya Magufuli

mbasajohn

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2009
Posts
247
Reaction score
39
Leo Magufuli amewasilisha bajeti ya wizara yake, naomba mwenye kopi yake aiweke hapa tuichambue.

presentation yake ya powerpoint ilikuwa bomba kinoma jamaa yuko serious sema ilani ya ccm inamzuia kufika pale anapotaka!

du ametumia power point kwel magufur kboko! Na kuhusu kzpa rami sehem ambazo hazna na wale wenye nazo kama Kmanjaro.

Hivi Waziri kivuli wa Wizara hii Bwana Machemli... mbona anachemsha sana haswa kwenye Mahesabu ya Million,Bilion na Trllioni??? Pia katika matumizi ya R na L...

Duh! Kumbe kutumia powe point nayo creditie? Sijui kwanini hawanipi huo uwaziri kumbe nitaosha kinoma. halafu ni Magufuri au Magufuli?

Duh! Kumbe kutumia powe point nayo creditie? Sijui kwanini hawanipi huo uwaziri kumbe nitaosha kinoma. halafu ni Magufuri au Magufuli?

amefanya kisomi zaidi sijawahi ona waziri akifanya hivyo ktk historia ya bunge chovu hili letu. mbona Zito alitumia ipad tukamfagilia sana tu, hata huyu anastahili pongezi! ile power point mjomba haikuwa ya hotuba yake yaani maneno, ilijaa ramani za mikoa na wilaya ikionesha barabara zilizojengwa zinazojengwa zilizo chini ya tanroads zinazotarajiwa kujengwa. ni ramani za wilaya zote mpaka vijijini huko so utaona jamaa anavyokwenda kwa data. though yupo magamba chama cha mafisadi peke yake kajitahidi.

Alikuwa mkurufunzi na PhD Holder hivyo PPT siyo tatizo. Tatizo ni kwa Prof. Maji marefu na wenzake kuelewa anawezadhani ni uchawi fulani ama TV!!! hehehehehehee

Hiki ndicho hakipendi Kkikwete, Magufuri haoni kama creativity yake inawa-Outsmart wenzake ikiwemo na boss wake

Atueleze kipi kimemfanya apate kigugumizi kuvuja jengo la TANESCO Ubungo na mengineyo kupisha ujenzi wa barabara ya magari yaendeyo kwa kasi?

huyu ndiye anafaa kuwa rais maana anatumia ubongo,si kama magamba ni bongo lala

Lakini mbona powerpoint yake haina maana kama barabara za ubungo na kinyerezi amekula hela hizo na sasa ni barabara za bagamoyo tu ndiyo zinasimamiwa na ambazo hazina tija kiuchumi
duh! Kumbe kutumia powe point nayo creditie? Sijui kwanini hawanipi huo uwaziri kumbe nitaosha kinoma. Halafu ni magufuri au magufuli?

Jinsia yake haina maana kwetu ila ina maana kwa ccm kwani wabunge wenyewe ni majinga kwani hata vitu vya maana wao ni kuzomea nawapa bigup chadema kwani wanaweza hata kuwa wabunge nchini marekani.namuunga mkono olesendeka bunge livunjwe turudi kwenye uchaguzi
hiki ndicho hakipendi kkikwete, magufuri haoni kama creativity yake inawa-outsmart wenzake ikiwemo na boss wake

Hana maana mnampa sifa za bure mbona upanuzi wa barabara ya ubungo hauongelei na vipi zile fedha zilitengwa za barabara ya kinyerezi hadi mbezi beach kupitia goba enzi za benny mkapa au kwa kuwa hakuna wakwere ndiyo maana amenuna
duh! Kumbe kutumia powe point nayo creditie? Sijui kwanini hawanipi huo uwaziri kumbe nitaosha kinoma. Halafu ni magufuri au magufuli?

Atueleze kipi kimemfanya apate kigugumizi kuvuja jengo la TANESCO Ubungo na mengineyo kupisha ujenzi wa barabara ya magari yaendeyo kwa kasi?

jamani hamkumbuki alivyopigwa stop na mtoto wa mkulima kule jimboni kwake, na bosi wake siku ile alipotembelea wizarani?

ndio kunaweza kuwa na mapungufu yanayosababswa na system lakn z guy is gd!

Duh! Kumbe kutumia powe point nayo creditie? Sijui kwanini hawanipi huo uwaziri kumbe nitaosha kinoma. halafu ni Magufuri au Magufuli?

Wasukuma hawana 'r' hivyo ni Magufuli.

Magufuli akipewa nafasi anaweza akasimamia maamuzi yake. munaonaje? Mi nahisi baba RIDHIWANI anamchakachua kwenye maamzi

Huyu ****** anamchukia Magufuli sababu ni wa ukweli huwa achakachui mambo. Mimi pia namkubali msukuma mwenzangu maana hana mchezo kwenye kazi bwana.

Similar Discussions

Back
Top Bottom