Leo ni siku yangu ya kuzaliwa lakini ....

XII Tz

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
4,293
6,956
Nili zaliwa mwezi na tarehe kama ya leo miaka ishirini iliyopita, na leo ni furaha kubwa sana kwangu kuuaga uteenager na kuingia rasmi into adulthood .. kimwonekano bado ni mdogo mno, kwani mwili wangu bado hauja tanuka kama wa mtu mzima, kimo changu ni futi 5 na inchi 5 na hata sura yangu bado ni ya kitoto mno na mbaya zaidi sina hata ndevu ..

Kua yangu imekua ya taratibu sana tangu enzi za utoto mpka leo hii kwani asilimia kubwa ya watu niliokuwa nikilingana nao umri mpaka leo wanaonekana ni wakubwa sana kwangu. From the age of 18 nimekua desperate sana na muonekano wa kikubwa but seems like nachelewa sana kukua. i expected physical change when i clocked 19 but nothing happened yet.

Hali hii ilifanya nidharauliwe shuleni na baadhi ya makundi ya wanafunzi kutokana na muonekano wangu wa kitoto ukilinganisha na how stubborn i was back then. Pia nilitemwa kwenye baadhi ya ajira za saidia fundi kutokana na kuonekana dogo ..

Nili google kuhusiana na hili nikagundua ni hali ya kawaida iitwayo constitutional growth delay. Ni hali inayorithiwa kwa wazazi au mzazi ambaye pia alipitia kitu kama hiki .. mtu mwenye CGD huonekana miaka 2 mpaka 3 mdogo kuliko umri wake au inshort ni hali inayo chelewesha ukuaji wa mifupa thus delaying the overall skeletal growth hivyo kumfanya mtu ashindwe kukua inavyo takiwa. Kwa kawaida hali hii hai itaji any treatment bali huitaji subira tu kwani watu wenye CGD huwa wanakuja ku catch up na kufikia their potential height and size when they clock into early 20's ..

Am expecting to seat for my senior 6 final exams early next year hivyo tuombeane wana CHAPUTA na JF in general .. all in all maisha ya kwa shemeji yanakera mno na yana hitaji uvumilivu sana hivyo karibuni nitasepa ..

That's all i wanted to share with you guys .. and Happy birthday to me ..
 
Hivi kumbe jf kuna vichalii vidogo vidogo kam wewe?
 
Hongera mkuu tumezaliwa siku moja
 
Back
Top Bottom