Haki kabisa ataamini alivo mjingaπππMungu Wanguπππππππ
Nakupenda sana Sweet16 nina mbuzi zangu kama tatu na kuku wawili nipo radhi niuze kwa sababu yako.Ngoja baadaye nitamuandikia meseji mume wangu "nakupenda"
Najua ataamini atasahau ni siku gani leoπ
Wee tulia, si ni April fool πMhurumie mwenzioπ
Utopwinyo wanashangilia muda huu baada ya mwerevu mmoja kupost kwamba wamezishitaki TFF, bodi ya ligi & Simba sc ππSasa watanzania wote si ni sikukuu yao hii?maana ndo majinga ya mwisho hapa duniani
Kuna hii nimeitoa FBπππUtopwinyo wanashangilia muda huu baada ya mwerevu mmoja kupost kwamba wamezishitaki TFF, bodi ya ligi & Simba sc ππ
Tangazo limechapishwa leo (sio na msemaji wa utopwinyo ) ila sasa utopwinyo fans wanatembea vifua wazi wakiimba kwamba watapewa goli na points 3πππ
Kati ya watanzania na utopwinyo fans nani kasherehekea/anashereheshwa foolish day??
Ubaya Ubwela haijawahi kushindwa kuwaingiza mkenge utopwinyo πππ€£
Itakuwa imepostiwa na mjukuu wa Wassira hii πππKuna hii nimeitoa FBπππ
BREAKING NEWS
TUNDU LISU KUHAMIA CCM LEO , ATAONGEA NA VYOMBO VYA HABARI CHANZO CHA KUHAMA
Mjinga wa kwanza TANZANIA πΉπΏ Ni yule anaye amini kwamba patakuwa na UCHAGUZI MKUU HURU NA WA HAKI 2025Leo ni siku ya wajinga duniani Aprili Mosi...
Usiamini chochote na usimwamini mtu yeyote. Kama siku nyingine yoyote. π€ͺView attachment 3289242