Fathers day tuko vizuriii madumeeView attachment 3369359
Hebu leo mtakie Happy Father's day mumeo au baba wa watoto wako kama anawajibika kama baba wa familia....kama hawajabiki yaani hajui hata watoto wake wanalala wapi hebu weka emoji ya bomu 💣💣😂😂Kwahiyo tujiandae kutolewa out au sio.....
Happy fathers day kipenzi changu....Hebu leo mtakie Happy Father's day mumeo au baba wa watoto wako kama anawajibika kama baba wa familia....kama hawajabiki yaani hajui hata watoto wake wanalala wapi hebu weka emoji ya bomu 💣💣😂😂View attachment 3369548
Fusra ndani ya chama utaweza kweli kama kum cc tu ni shida... HahahahaHappy fathers day kipenzi changu....
Oooh happiest birthday baba watoto.
Kila nikijaribu kummention inagoma 😁
(Ukipita kusoma naomba afu amsini nikununulie keki, i love u)