Leo ni siku ya utafiti ya chuo kikuu cha Dar es salaam, je ushawahi kufanya utafiti wa kiuchumi?

Michael Chairman

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
922
583
Kama ilivyo duniani kote kuwa nguzo muhumu ya kuamua kufanya jambo lolote kwa umahiri mkubwa na lenye faida kuu kwa jamii tunahitaji kufanya utafiiti .

Leo ni siku ya utafiti ya chuo kikuu cha Dar es Salaam siku hii ni maalumu kwa watafiti walio fanya utafiti mbalimbali kueleza wamefanya utafiti upi? na una faida ipi? kwa jamii yetu ya kitanzania.

Kupitia siku hii ya utafiti tushilikishe na wewe ulishawahi kufanya utafiti upi wa kiuchumi na biashara? ili kupitia utafiti wako jamii inufaike
 
Nimefanya baadhi ya research kwa kutumia secondary data na nyingine primary data.

Nyingi zili-base kwenye household and their welfare.
 
Back
Top Bottom