nipo kituoni toka sa kumi na mbili nasubiri kujiandikisha nipate tiketi ya kuiondoa ccm.ila tukio hilo apa dodoma limefanywa siri kubwa ndio maana mpaka sasa kituoni nipo peke yangu ila baada ya kujiandikisha naenda kuhamasisha.
Huo ni unafiki mbona wengine tupo simiyu Lakini tunajua kuwa leo dodoma wanaanza kujiandikisha sasa huo usiri unatoka wapi.Nipo kituoni toka sa kumi na mbili nasubiri kujiandikisha nipate tiketi ya kuiondoa CCM.Ila tukio hilo hapa Dodoma limefanywa siri kubwa ndio maana mpaka sasa kituoni nipo peke yangu ila baada ya kujiandikisha naenda kuhamasisha.
Mkuu wewe unatoka kijiji gani ambako zoezi la kujiandikisha ni siri,Kwa stahili hii ya kufanya mambo kinyume na utaratibu ya Burundi ni sharti yatukute..!!!
Make hakuna namna...wananchi wamechoka..!!
Mnagawa majimbo kila mkijisikia.... Mnaandikisha wapiga kura kwa siri...Haramu uzaa Haramu... Wenye macho na waone...wenye masikio wasikie...wenye akili..waelewa na wawajulishe wengine...!!
acha ujinga wewe gamba mbona matangazo ya chanjo ya mabusha na tezi dume huwa wanapita mitaani kutangaza.huku dodoma mpaka sasa vituo tu vya kujiandikisha watu hawajui vilipoHuo ni unafiki mbona wengine tupo simiyu Lakini tunajua kuwa leo dodoma wanaanza kujiandikisha sasa huo usiri unatoka wapi.
Ujue ukiwa huna busara usidhani kama kunamtu atakuongezea hizo busara ratiba ipo wazi tena imetangazwa.
Mkuu wewe unatoka kijiji gani ambako zoezi la kujiandikisha ni siri,
kumbe ukiwa bavicha mpaka akili zinaruka?
Kwakuwa chadema mmezoea fujo hayo ya burundi kafanyianeni kwenye familia yenu.
Nipo kituoni toka sa kumi na mbili nasubiri kujiandikisha nipate tiketi ya kuiondoa CCM.Ila tukio hilo hapa Dodoma limefanywa siri kubwa ndio maana mpaka sasa kituoni nipo peke yangu ila baada ya kujiandikisha naenda kuhamasisha.
Saafi sana mkuu, hakikisha umewapeleka watu ishirini leo na kesho pia,Nipo kituoni toka sa kumi na mbili nasubiri kujiandikisha nipate tiketi ya kuiondoa CCM.Ila tukio hilo hapa Dodoma limefanywa siri kubwa ndio maana mpaka sasa kituoni nipo peke yangu ila baada ya kujiandikisha naenda kuhamasisha.
Wewe ni muongo!!Nipo kituoni toka sa kumi na mbili nasubiri kujiandikisha nipate tiketi ya kuiondoa CCM.Ila tukio hilo hapa Dodoma limefanywa siri kubwa ndio maana mpaka sasa kituoni nipo peke yangu ila baada ya kujiandikisha naenda kuhamasisha.