Leo ni siku ya kimataifa ya Albino

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
Leo ni siku ya kimataifa ya Albino

Kenya leo inaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya kimataifa ya Albino.

Baraza la kitaifa la watu wanaoishi na ulemavu Kenya limeitaka jamii hiyo kupewa nafasi na kama watu wengine katika fursa za ajira,masomo na mahusiano katika jamii.

Maudhui ya mwaka huu kusherehekea utandawazi,kuhusishwa kwa albino kwenye mipango ,kulinda haki zao. chanzo.CRI Kiswahili

Albino.jpg
Brazil albino.jpg
Maalbino.jpg
 
Kenya imeungana na dunia nzima katika maadhimisho ya siku ya kimataifa ya walemavu wa ngozi (albino).

Maadhimisho haya yameandaliwa katika viwanja vya jumba la kimataifa la mikutano la KICC jijini Nairobi
chanzo.
CRI Kiswahili

kenya Albino.jpg
Nairobi albino.jpg
 
Back
Top Bottom