Julius Kaisari
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 1,176
- 683
Ni Camp Nou, sio MOU. Ukisema MOU waisilamu wanapata msisimuko![h=2]Leo ni Leo, Barcelona anakamuliwa MOU CAMP..[/h]
ukubwa wa pua si wingi wa makamasi,pole lakini namba uliyopiga haipatikani kwa sasa tafadhali jaribu tena msimu ujaoLeo ile Made in Milan Brand inakuja kutia chumvi kwenye Kidonda walichochokonoa kina CR7,Ozil &co,
Mtu atapigwa kama amesimama..upo Gang Chomba?
Msikose mtanange huu.
Forza Milan!
Heri ya MUONGO kuliko MLOPOKAJI.Leo ile Made in Milan Brand inakuja kutia chumvi kwenye Kidonda walichochokonoa kina CR7,Ozil &co,
Mtu atapigwa kama amesimama..upo Gang Chomba?
Msikose mtanange huu.
Forza Milan!