Leo ni kumbukumbu ya Entebe raid 4-7-2011

IsraeliNa kila atakaye kulaani nami nitamlaani naye akubarikie nami nitambariki " ili mambo yako yanyooke inabidi uwe unaiombea israel aman
 
Idi Amin was installed by Israel, the United States, and British intrigue; "the Israeli advisers in Uganda were especially close to Colonel Idi Amin." [BEIT-HALLAHMI, p. 61]

"The Israelis," observed two scholars on the area, "... were disturbed by [the former head of Uganda and his] growing anti-Zionism ... Amin they thought would be a useful puppet and come to rely on a large military presence for his survival." [BEIT-HALLAHMI, p. 62]

When Palestinians hijacked an Air France jet to Israel in 1976, in the famous Entebbe airport incident in which Israeli troops clandestinely flew to Uganda and freed Jewish hostages in a shootout, it helped in siege plans that the Entebbe airport had been built by an Israeli company, Solel Bonch, which provided Israeli rescuers with information about airport terrain. [BLACK/MORRIS, p. 340]
 
Brigadier Dan shomrom ndiye aliyeratibu mapigano pale Entebbe airport
 
Hawa waisraeli wanauwezo mkubwa sana wa kufikiri wakiwa katika wakati mgumu wa vita. Katika vita vya mwaka 1967 Misri walichimba sana jangwani Sinai na kuficha kila siraha kali katika mahandaki. Na walikuwa na mahandaki mengi sana walichimba kabla ya kuivamia Israel. Muisraeli yeye alifuga njiwa tuu na hakuwa na wasi wasi wa kugundua kila handaki liko wapi.

Wakati wanazipiga na mapambano yakiwa yanawaka moto Muisraeli yeye alirusha njiwa wengi angani kati kati ya jangwa la sinai. Si unajua njiwa ni rafiki wa binadamu hivyo kila mahali ambapo binadamu kafukua fukua na kuchimba lazima njiwa atatua ili aparue parue chakula.

Basi kila njiw aliipokuwa anatua na mwisraeli alikuwa anashusha bomu pale pale. Kwa masaa kumi na mbili misri ilijikuta imepotesa siraha zake nyingi sana mle jangwani pamoja na mahandaki yake yote kulipuliwa!!
 
Mkuu hapo kwenye red umenivunja mbavu waarabu hawana kitu walipata raana za kunyanyasa watu weusi kwa kuwauza utumwa na laana yao haijulikani itaisha lini na wanaowapenda wanajichulia.
 
Du! Hii ndiyo raha jf unajifunza mengi sana! Dah! Kumbe hawa jamaa c kuchezea kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…