Leo ni jumapili


kitalolo

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Messages
1,846
Likes
13
Points
135
kitalolo

kitalolo

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2006
1,846 13 135
Wangapi mmekumbukakufanya hii kitu?

 
kitalolo

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Messages
1,846
Likes
13
Points
135
kitalolo

kitalolo

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2006
1,846 13 135
wewe unafanya hivyo jumapili tu!!!
no mkuu zamani nilikuwa nafanya kila siku ila tangu niachane na hiyo kitu na sheria za kanisa nililokuwa naenda wanasema walau mara moja kwa mwaka ila just kukumbushana mzee walau jumapili
 
kitalolo

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Messages
1,846
Likes
13
Points
135
kitalolo

kitalolo

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2006
1,846 13 135
Hii kitu ya kufanyia karibu na kitanda na mavazi ya kula vichwa ni ipi hiyo?!!
yapo mengi mkuu ila hapa ni kutafakari kuhusu uliyoyafanya siku nzima kabla ya kuingia kitndani
 
kitalolo

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Messages
1,846
Likes
13
Points
135
kitalolo

kitalolo

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2006
1,846 13 135
Ibada ni utulivu na mavazi ya heshima kwa kila dini lakini hapa hakuna ibada
jamani hata ukiwa mwenyewe si unaweza kufanya maombi ukiwa mtupu kwani kuna shida?
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
31,019
Likes
11,956
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
31,019 11,956 280
Kufanya hio kitu:-Double meaning
1.Kusali
2.Kula hicho kiburudisho
 
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
17,102
Likes
7,420
Points
280
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
17,102 7,420 280
no mkuu zamani nilikuwa nafanya kila siku ila tangu niachane na hiyo kitu na sheria za kanisa nililokuwa naenda wanasema walau mara moja kwa mwaka ila just kukumbushana mzee walau jumapili
ha ha ha ha ha ha ha!!mara moja kwa mwaka!!!!!!
 
kitalolo

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Messages
1,846
Likes
13
Points
135
kitalolo

kitalolo

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2006
1,846 13 135
ha ha ha ha ha ha ha!!mara moja kwa mwaka!!!!!!
yah mkuu kakanisa ya zamani yalikuwa ni kwaaajili ya kumsaidia mwanadamu aweze kumtambua muumba wake kutumikia na mwisho kumwezesha kukutana na muumba wake siku za mwisho yaani muumini ndio anapaswa kulitafuta kanisa ila makanisa ya siku hizi yanawatafuta waumini unajua ni kwanini?
Je kama unabiashara yako na ukaiweka ndani nani atainunua (maana yake ni kwamba makanisa ya sikuhizi yako kisadaka zaidi kwamba unamtambua muumba wako na kumtumikia sio muhimu)
 

Forum statistics

Threads 1,235,504
Members 474,615
Posts 29,224,955