sasa uliazisha thread ili ukusanye umbeya? Haitangazwi na wameshafunga tokea saa kumi na moja asubuhi ili aweze kuwahi kwenye mkutano wa kuimarisha Chama subiri upate live updates za mkutanoWanabodi, nadhani wengi mtakumbuka kuwa taarifa za vyombo vya habari hasa magazeti zilitueleza kuwa ndoa ya Slaa na mchumba wake (Josephine) imepangwa kufanyika Julai 21, 2012 yaani leo hii Jumamosi huko Karatu. Lakini kulikuwa na uingiliaji wa Mhe. Rose Kamili (mke na mzazi mwenzake Dk. Slaa) ambaye alikwenda mahakamani. Lakini licha ya kwenda mahakamani kulikuwa na maelezo ndoa hiyo ni lazima ifanyike. Mwenye updates plse tuleteeni kuhusu kiongozi huyu ambaye tuliona watoto wake na Mhe. Rose wakitambulishwa bungeni wakati bajeti ya wizara ya kilimo ilipokuwa ikisomwa. Tupeni taarifa kuhusu Slaa.
Josephine ni mtoto wa mjini, hashindwi kitu. Kibabu lazima kiingie mkenge!
Josephine ni mtoto wa mjini, hashindwi kitu. Kibabu lazima kiingie mkenge!
Teh.ha ha ha ha ...angalia reputation yangu uicompee na yako.hakuna mtu anatarajia la maana toka kwako, JF nafikiri wanajuta sana kukupa nafasi hii, you are a disappointment to jamii forums!!
Nimekuja kumwish padre na dakt wa sheria za kanisa a happy marriage.Aisee wamekuachia lini tena? Kwakua tulisikia na wewe ulitekwa nyara!
sasa uliazisha thread ili ukusanye umbeya? Haitangazwi na wameshafunga tokea saa kumi na moja asubuhi ili aweze kuwahi kwenye mkutano wa kuimarisha Chama subiri upate live updates za mkutano
Rejao huwa unakimbia humu, we subiri tu.Nimekuja kumwish padre na dakt wa sheria za kanisa a happy marriage.
Wanabodi, nadhani wengi mtakumbuka kuwa taarifa za vyombo vya habari hasa magazeti zilitueleza kuwa ndoa ya Slaa na mchumba wake (Josephine) imepangwa kufanyika Julai 21, 2012 yaani leo hii Jumamosi huko Karatu. Lakini kulikuwa na uingiliaji wa Mhe. Rose Kamili (mke na mzazi mwenzake Dk. Slaa) ambaye alikwenda mahakamani. Lakini licha ya kwenda mahakamani kulikuwa na maelezo ndoa hiyo ni lazima ifanyike. Mwenye updates plse tuleteeni kuhusu kiongozi huyu ambaye tuliona watoto wake na Mhe. Rose wakitambulishwa bungeni wakati bajeti ya wizara ya kilimo ilipokuwa ikisomwa. Tupeni taarifa kuhusu Slaa.
Mkuu umekosea, hii inaitwa marriage of convenienceHiyo siyo ndoa (WEDDING) kama ambavyo wengi wanaita , lugha fasaha ya tukio la leo la Dr. Slaa na Josephine linaitwa kwa lugha ya wenzetu "THE SACRAMENTS OF HOLY MATRIMONY".