Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 838
- 496
Askari muoga, kuwa mpole kama unavyoogopakaka walichonifanyia serikali nimekuwa mpole tu
Hizo propaganda tu, ajira za mwisho zilitoka katika mwaka wa fedha 2014/15. Mwaka wa fedha 2015/16 walisema hivyo hivyo ukapita kimya! 2016/17 wanasema hivyo hivyo nao ndo unaishia!Tusubiri majibu ya waziri mwenye dhamana atatolea ufafanuzi. Ila nimesikia serikali imeanza kutoa vibali vya ajira kwa ajili ya mwaka wa fedha 2017/2018. Hivyo tuvute subra.
Kwani umma ni nini?Samahani Bashite sio mtumishi wa UMMA yule ni Government official mkuu
ngoja tuone hizo ajira labda episode hii itakuwa mwisho ila si kuna uchambuzi wa waajiliwa ususani walimu je wote walipeleka vyeti
Hunishindi mm mkuu. Yule mlevi nikimuona tu kweny video huwa natoa kbsa bora niweke nyimbo au nizime tv kuliko kumsikiliza yule mtu.sidhani kama kuna asiyeipenda hii serikali ya awamu ya 5 kama mimi... yaan naiangalia tu ila siipendi kufa!
kairuki hawezi kuonea uchungu kijana yeyote wa kitanzani.mumewe ana chuo na hospitali inayomuingizia pesa kila leo hata namba tunazosoma ye hazijui.Hunishindi mm mkuu. Yule mlevi nikimuona tu kweny video huwa natoa kbsa bora niweke nyimbo au nizime tv kuliko kumsikiliza yule mtu.
AWAMU HII VIONGOZ WENYE MAKAMASI KWENY VICHWA VYAO NI WENGI
Leo nimesikiliza mpuuz mmoja kateua baraza eti anadai kachoshwa kuibiwa kwa hiyo kateua kamati ili kuchunguza kwa jins gan watz wanavyoibiwa.
Nikajiuliza yy alipo ni mwiz mkubwa tu kibaya zaid hata hajitambui kuwa kabeba ndoto nyingi za vijana.
WALIOSEMA TANZANIA NI KICHWA CHA MWENDAWAZIMU WALA HAWAKUKOSEA NA HATA LISSU ALISEMA TUMEPATA KIONGOZ WA AJABU HAIJAWAHI TOKEA TANGU TUPATE UHURU
Ila mwisho wa siku itafahamika tu. Tutajua kati ya viongoz na wananchi wapi ndiyo wenye nchikairuki hawezi kuonea uchungu kijana yeyote wa kitanzani.mumewe ana chuo na hospitali inayomuingizia pesa kila leo hata namba tunazosoma ye hazijui.
Ajira zenyewe za uwiano wa 10 kwa 100 ?Tusubiri majibu ya waziri mwenye dhamana atatolea ufafanuzi. Ila nimesikia serikali imeanza kutoa vibali vya ajira kwa ajili ya mwaka wa fedha 2017/2018. Hivyo tuvute subra.
Ila si haba maana tutapungua kijiweni. Na hata tegemezi nao tutapungua. Time will tellAjira zenyewe za uwiano wa 10 kwa 100 ?
watuKwani umma ni nini?