jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
23Septmber ndio hii nasubiri muda uishe tujue hatma yetu!
23Septmber ndio hii nasubiri muda uishe tujue hatma yetu!
Hatima naona bado maana bila shaka watatangaza third round!23Septmber ndio hii nasubiri muda uishe tujue hatma yetu!
AiseeeHatima naona bado maana bila shaka watatangaza third round!
Wengine wamezoea fb wanafikikiri na huku kama fb,jaribu kufafanua ili ueleweke.23Septmber ndio hii nasubiri muda uishe tujue hatma yetu!
Round ya kuishi duniani au?! unapotuma post usidhani kwamba wasomaji wote wanajua unachowaza wewe, jitahidi kutuma habari iliyokamilika ambayo haina sababu ya kuibua vijimaswali
