Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,545
Habari zenu ndugu zangu wanaJF. Bila kupoteza wakati nipende kwenda moja kwa moja kwenye ushuhuda huu niliougundua hivi karibuni.
Siku nyingi numekuwa naangaika kutaka kujua babu yangu baada ya kufa alienda wapi. Leo ndio nimegundua kuwa Yuki kaburini na wala sio mbinguni wala jehanamu.
Unajua nimegunduaje?
Mungu alimwambia Adamu "Siku ukila tunda LA mti uliokatikati ya bustani, hakika utakufa"
Shetani akamwambie Eva "...hakika hautakufa"
Ee bwana eeh..si Adam baadae alishuhudia kifo cha mwanae Abeli aliyeuliwa na nduguye. Hapa Mungu akawa ameshinda.
Leo sasa...shetani bado anatuambia tukifa...hatufi...eti kama ulitenda mema roho yako inaenda mbinguni kama ulitenda uovu unaenda jehanamu.
Aisee Leo ndo nimejua hili. Naahidi kuanzia Leo naamini MTU akifa kaenda kaburini; ya duniani hayamuhusu hata kidogo.
Ukigundua huu ukweli...nakuhakikishia Amani.
Nakaribisha kupigwa kwa hoja za vitabu vya dini hasa hasa biblia maana Quran imekili wazi wazi kuwa ukiisoma usipoielewa waulize wakristo waliopewa kitabu kabla ya uisilamu wenyewe.
ASANTENI