Leo ndio nimegundua ujanja wa shetani.

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Habari zenu ndugu zangu wanaJF. Bila kupoteza wakati nipende kwenda moja kwa moja kwenye ushuhuda huu niliougundua hivi karibuni.

Siku nyingi numekuwa naangaika kutaka kujua babu yangu baada ya kufa alienda wapi. Leo ndio nimegundua kuwa Yuki kaburini na wala sio mbinguni wala jehanamu.

Unajua nimegunduaje?

Mungu alimwambia Adamu "Siku ukila tunda LA mti uliokatikati ya bustani, hakika utakufa"
Shetani akamwambie Eva "...hakika hautakufa"

Ee bwana eeh..si Adam baadae alishuhudia kifo cha mwanae Abeli aliyeuliwa na nduguye. Hapa Mungu akawa ameshinda.

Leo sasa...shetani bado anatuambia tukifa...hatufi...eti kama ulitenda mema roho yako inaenda mbinguni kama ulitenda uovu unaenda jehanamu.

Aisee Leo ndo nimejua hili. Naahidi kuanzia Leo naamini MTU akifa kaenda kaburini; ya duniani hayamuhusu hata kidogo.

Ukigundua huu ukweli...nakuhakikishia Amani.

Nakaribisha kupigwa kwa hoja za vitabu vya dini hasa hasa biblia maana Quran imekili wazi wazi kuwa ukiisoma usipoielewa waulize wakristo waliopewa kitabu kabla ya uisilamu wenyewe.
ASANTENI
 
Mhubiri 9:4 Kuna tumaini kwa yeyote aliye miongoni mwa walio hai, kwa sababu mbwa aliye hai ni afadhali kuliko simba aliyekufa.+5 Kwa maana walio hai wanajua* kwamba watakufa,+ lakini waliokufa hawajui jambo lolote kamwe,+ wala hawana thawabu* tena, kwa sababu kumbukumbu lote kuwahusu limesahauliwa.+ 6 Pia, upendo wao na chuki yao na wivu wao tayari umetoweka, na hawana tena fungu lolote katika mambo yanayofanywa chini ya jua.+
 
Aisee kumbe mambo yako wazi kabisa...
 
Aisee sasa hivi hawanisumbui mkuu....halafu ukiangalia na ma movie mengi yana support hya mawazo potofu.
Mwanzo2:7 Kisha Yehova Mungu akamuumba mtu kutokana na mavumbi+ ya ardhi na kupuliza katika mianzi ya pua yake pumzi ya uhai,+ na mtu huyo akawa mtu aliye hai.*
Kwa mujibu wa Aya hiyo mtu hai anapatikana kwa kujumlisha mavumbi na pumzi ya Mungu
Vikitenganishwa hakuna uhai.
 
Asante sana mkuu kwa kuzidi nifungua ubongo.
Ubarikiwe.
 
Wapo wanaosema roho inakuwa hai mahali fulani na haifi mkuu

Dini ya wayahudi wanaamini ukifa roho inaondoka na kuuacha mwili lakini baadaye hiyo roho itaenda kwenye kiumbe kingine au kwa mwanadamu mwingine atakayeanza maisha hapa duniani(incarnation)Mwili hauna uwezo wa kwenda mbinguni wala jehanamu.Pia roho haiwezi kuungua kwa moto hivyo haiadhabiwi kwa kuunguzwa.Jaribu kuiunguza oxygen kama itaungua.Roho ni kama hewa na haishikiki.KARIBUNI KWENYE DINI ISIYOAMINI UWEPO WA JEHANAM.KARIBUNI JUDAISM.TUNAAMINI KATIKA OLD TESTAMENT NA HASA TORATI.
 
Asante mkuu
Hayo mnayoamini yameandikwa katika vitabu hivyo "Agano la kale hasa hasa torati?"
 
Dini ya wayahudi wanaamini ukifa roho inaondoka na kuuacha mwili lakini baadaye hiyo roho itaenda kwenye kiumbe kingine au kwa mwanadamu mwingine atakayeanza maisha hapa duniani(incarnation)Mwili hauna uwezo wa kwenda mbinguni wala jehanamu.Pia roho haiwezi kuungua kwa moto hivyo haiadhabiwi kwa kuunguzwa.Jaribu kuiunguza oxygen kama itaungua.Roho ni kama hewa na haishikiki.KARIBUNI KWENYE DINI ISIYOAMINI UWEPO WA JEHANAM.KARIBUNI JUDAISM.TUNAAMINI KATIKA OLD TESTAMENT NA HASA TORATI.
Asiyeamini agano la kale huyo hajui dini mkuu
 
Tuendelee tu kudanganyana huku tukijidai na kiburi cha uzima lakini siku ni siku na saa ni saa kila mtu atathibitisha mwenyewe .
 
Kudhibitisha nn?
Issue maandiko yameandika hivi...watu wanasema hivi.
Ni naamini maandiko na sio wasoma maandiko.
 
Pole mkuu ukuielewa dini yako maybe.
Pia ukiona dini yako haitakupeleka kuzuri achana nayo!!!
Niliielewa vizuri.
Niliwahi kuwa dini fulani nikaiacha baada ya kuona ni ushenzi na ukatili umejaa hiyo dini.
Nikaingia dini moja nzuri ambayo naipenda. Ila kuna maswali sasa najiuliza nakosa majibu.
Hivi wewe mzazi ni kwa kipimo gani mwanao akikukosa unaweza kumchoma na moto wa gas angalau kwa lisaa limoja?
Kama haiwezekani, how dhambi aliyoitenda mwanadamu kwa miaka michache imsababishie kuchomwa moto mkali zaidi non stop kwa miaka million and millions?
Je, hiyo hukuku ina haki?
Mungu ni mwingi wa huruma, iko wapi hapo huruma?
Hukumu ya Mungu ni ya haki, iko wapi hapo haki?
 
Umenifikirisha. Yupo mwanafalsafa mmoja wa UK anafikiria na pia ana mtazamo huo huo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom