Leo ndio nimegundua ujanja wa shetani.

Tofauti ya Torati na agano la kale ni ipi?
Torati ni vitabu vya sheria vilivyoandikwa na nabii Musa anbavyo ni vitabu vya mwanzo ktk again la kale.
Agano la kale ni vitabu vyote ktk biblia vilivyoandikwa kabla ya kristo.
Asante
 
Mkuu,
Hakuna moto wa milele. Kuna upotoshaji wa maandiko ktk hili.Milele means mtu anapotea kabisa kabisa na sio kwamba atachomwa milele. Hill ni fundisho la uongo.

Unashangaa nini na wakati mtu akiiba kuku sokoni anachomwa moto.
Niliielewa vizuri.
Niliwahi kuwa dini fulani nikaiacha baada ya kuona ni ushenzi na ukatili umejaa hiyo dini.
Nikaingia dini moja nzuri ambayo naipenda. Ila kuna maswali sasa najiuliza nakosa majibu.
Hivi wewe mzazi ni kwa kipimo gani mwanao akikukosa unaweza kumchoma na moto wa gas angalau kwa lisaa limoja?
Kama haiwezekani, how dhambi aliyoitenda mwanadamu kwa miaka michache imsababishie kuchomwa moto mkali zaidi non stop kwa miaka million and millions?
Je, hiyo hukuku ina haki?
Mungu ni mwingi wa huruma, iko wapi hapo huruma?
Hukumu ya Mungu ni ya haki, iko wapi hapo haki?
 
Habari zenu ndugu zangu wanaJF. Bila kupoteza wakati nipende kwenda moja kwa moja kwenye ushuhuda huu niliougundua hivi karibuni.

Siku nyingi numekuwa naangaika kutaka kujua babu yangu baada ya kufa alienda wapi. Leo ndio nimegundua kuwa Yuki kaburini na wala sio mbinguni wala jehanamu.

Unajua nimegunduaje?

Mungu alimwambia Adamu "Siku ukila tunda LA mti uliokatikati ya bustani, hakika utakufa"
Shetani akamwambie Eva "...hakika hautakufa"

Ee bwana eeh..si Adam baadae alishuhudia kifo cha mwanae Abeli aliyeuliwa na nduguye. Hapa Mungu akawa ameshinda.

Leo sasa...shetani bado anatuambia tukifa...hatufi...eti kama ulitenda mema roho yako inaenda mbinguni kama ulitenda uovu unaenda jehanamu.

Aisee Leo ndo nimejua hili. Naahidi kuanzia Leo naamini MTU akifa kaenda kaburini; ya duniani hayamuhusu hata kidogo.


Ukigundua huu ukweli...nakuhakikishia Amani.

Nakaribisha kupigwa kwa hoja za vitabu vya dini hasa hasa biblia maana Quran imekili wazi wazi kuwa ukiisoma usipoielewa waulize wakristo waliopewa kitabu kabla ya uisilamu wenyewe.
ASANTENI
KUFA ni nini ?
 
Back
Top Bottom