Nifah hili suala lilikuwa gumu na bado ni gumu tena sana... Hiii vita inapiganwa kwa mbinu na kila aina ya SILAHA tusubiri part 2Jamani,baada ya kuusoma huu uzi kwa utulivu wa hali ya juu na kuutafakari kulikotuka.....
Naomba nami nitoe yangu ya moyoni.
Kwanza nianze na wewe X,umetuvua nguo wanawake wenzio mama,tena hasa sisi tulio na wapenzi wetu huku JF ndio tumebaki uchi haswaaaa!
Umalaya huo umalaya gani?
Hivi unatumia pesa za mwanaume wako wa wakati huo unaenda kuchukulia sijui kupanga hotel na kulala na the so called X wako?
Hivi kwanini huwa hamuwezi kuachana na wanaume zenu moja kwa moja?
Huku unataka,huku unataka....
Ona sasa umelipiga bakuli la dhahabu teke unabaki unajiliza liza.
Mbaya zaidi umepigwa picha ya uchi ukiwa 'on top!'
Uwiiiiiii Nifah mimi ningekufa jamani!
Ushimen una moyo sana,hongera.
Halafu unaonekana malaya uliyekubuhu maana una watoto na kila mwanaume!
Una waume wangapi mama?Maana kuna sehemu katika story nimeona "mume wa pili"!!!!
Katika wanawake wapumbavu wewe namba 1!
Unapata mwanaume anakusomeshea watoto?Mungu akupe nini mwanamke? Loooh!
Haya,baada ya upuuzi wako ukapotezewa bwana mkubwa akampata 'mchuchu' mwingine,ndio nini kumtesa hivyo mwanamke mwenzio?
Ajabu ni watu wazima mlioko kwenye 30's zenu!
Una bahati sana umempata huyo KILAZA,ningekuwa mimi Nifah ndio NG (New GF) ungekomaje?
Kaa pembeni bibi weeee,acha wenye stara zao wajilie vyao.
Shankupe wewe endelea kupasha viporo na mumeo (wewe unamuita X) huko.
Huna hadhi ya kula vipya,vyako viporo tu.
HAYA BAADHI YA WANAWAKE WA JF JIANGALIENI MNAVYODHARAULIWA NA HAWA BAADHI YA WANAUME WA DAR, WANAPASIANA TU. Muwe makini sana.
Shoga umenifurahishaje?Hebu kunywa chochote upendacho pls.Yani mleta mada kwa sisi wanawake TUNAMUITA MWANAUME WA HAJA, MWANAUME WA MAANA, YANI ANGEPATA MWANAMKE ANAEJITAMBUA TU, Tatizo Kapata Mwanamke Chizi na asieangalia future ya watoto wake na yeye mwenyewe, hawa watu walifika hatua nzuri yani kwa upande wa mwanaume nadahni alikuwa na nia njema kabsaa, na ukumbuke walikuwa wanapanga kila kitu usikute ulibaki muda mfupi wa ndoa, Mungu akaamua kumuonyesha kama mwanamke ulieanae ni JINI MAHABA, LAKINI HAPO HAKUNA CHA KUMSHANGAA.
Chezea kuachwa wewe?wewe ni mpiganaji usiyekata tamaa, hakika utastahili kupewa kupewa tuzo
Nitajie mie tu, jinsi ninavyotamani kuwajua, itakuwa siri kabsaa lolbasi mkuu...kumbe kuna stori nyingi behind the scenes...acha ninyamaze kamanda
High risk high return, au siyo!!Usiwe basi kama wanaume wa dar best. Tuma mpunga...mengine yatafata. Ha ha haaaa unaogopa kuinvest kabla ya kula mzigo? Acha banaaa
Kwakweli roho imeniuma, hana mana hata chembe, hakuwa mwanamke bora, bali bora mwanamkeShoga umenifurahishaje?Hebu kunywa chochote upendacho pls.
Huyu Mungu nae ana maajabu sana jamani!
Mwanaume wa maana anampa mwanamke mpumbavu,malaya asiyejitambua.
Inauma sana.
Wewe nae ntakuchapaaaa?Nitajie mie tu, jinsi ninavyotamani kuwajua, itakuwa siri kabsaa lol
Nifah kuna mengi sana tena sana. mengi yamesemwa na mengi yakatendeka... ukaribu wangu na dada yangu nikawa mtu wa kutupiwa tuhuma zote. lakini nikawa na imani na dada anguChezea kuachwa wewe?
Huhuuuuuuu nijikalie kimya mie.
Naona JIPU limeiva,linatumbuka lenyewe.
Ha ha ha si unajua TUNAZIDIANA UTAFITI lol. sijawajua na nahisi ndio sabab leo nimeamka na homa.Hujawajua tu?
Mbona kuna sehemu humu wana ligi X na NG na wanatajana kabisa?
Hufai wewe,tutakupa ban kwenye chama cha wambea.
Tuelezee basi hayo unayoyajua kwa upande wa pili. ili tuweze kuhukumu vyema.Usilolijua ni sawa na usiku wa giza
Yapo yaliyojificha nyuma ya pazia. Kikubwa ni somo la kujifunza usimlaumu yoyote kati yao
Wahusika wamo humu mimi nimepata pm mama siwezi expose hapa ni aibu na fedheha bora tuwaachie wenyewe wayamalize huko kwao.Tuelezee basi hayo unayoyajua kwa upande wa pili. ili tuweze kuhukumu vyema.
basi ni PM ili tuweze kuwaacha wenyewe ha hah a ha ahh haha haWahusika wamo humu mimi nimepata pm mama siwezi expose hapa ni aibu na fedheha bora tuwaachie wenyewe wayamalize huko kwao.
Sie tujifunze kupitia kwao
tusubirikumbe kuna part 2 achene masihara nyinyi.
nakujaWewe nae ntakuchapaaaa?
Nicheki PM nikupe kichambo chako.
ha ha ha hah kazi ipo. yani jf muda mwengine kama maskani za mitaani..Wakikataliwa au kuchuniwa PM pia wawe wanahadithiana basi.Umakini ndio maisha mama. Na wakikutumia wakimaliza wanahadithiana. Hahaha nacheka kama mazuri
ha ha ha hah kazi ipo. yani jf muda mwengine kama maskani za mitaani..Wakikataliwa au kuchuniwa PM pia wawe wanahadithiana basi.