za nini sasa?nipe namba zako
mgeni wenu huyo! anayabananga tu!🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Mgeni ana kasi kubwa kuliko kasi yenyewe.Aachwe ainjoi life!mgeni wenu huyo! anayabananga tu!
kwakweli tumpe nafasi, kashaonja utamu wa jf kumuelewesha itakuwa ngumu mno!Mgeni ana kasi kubwa kuliko kasi yenyewe.Aachwe ainjoi life!
hapa huwasiliani kijana mgeni?mawasiliano
Atakuwa “chupa mpya, mvinyo wa zamani”!kwakweli tumpe nafasi, kashaonja utamu wa jf kumuelewesha itakuwa ngumu mno!
Toa namba upate bodaboda wako mjiniza nini sasa?
Anatuigizia sio?Atakuwa “chupa mpya, mvinyo wa zamani”!
Sina shida za namna hii!Toa namba upate bodaboda wako mjini