Nyonga mkalia ini
Member
- Mar 11, 2013
- 38
- 7
Leo sijui kama Simba atachomoka kwa Azam...
leo ndo leo mnyama unyamani baada ya makirikiri ya jana pale taifa karibuni wote leo muone soka ya kichotara uku julio kule mfaransa njooni muone sambusa za kutoka PARIS uku ngasa pale kazimoto kule sunzu pembeni semese chini kidogo kapombe ni burudani inayostahili kulipiwa, njooni muone boko , tchete na sureboy wakiomba msaada wa kamanda Kova kutafuta mpira, njooni muone wale walifunguliwa wakirudishwa tena TAKUKURU, mpira starehe mnyama nguvu moja
Mtu na mchumbake leo
hahahaaaaaaaaaaaaaaa. wewe ni Rage ?
Rage kufuata nin mkuu we njoo uwanjani uone 1kiemba= 5Niyonzima
Ndoa yao itafungwa lini mkuu?
Unamaneno mengi sana wewe. ila simba wanapigwa LIBOLO kama kawa. mimi nitakuwa uwanjani tutafutane uwanjani ili tushuhudie pamoja maboloa yakiingia
Azam uwezo wa kumfunga simba hana 2najipigia uyo ni mke we2 wa ndoa
Hayo ni maneno tu hatakwenye kanga yapo. baada ya dk 90 tutatafutana tujue kati ya SIMBA na AZAMU ninani mke na ni nani mume?
2tafutane mkuu ntakulipia na nauli ya kwenda nyumban
Sihitaji kulipiwa kwani I will be with my private Suzuki hahahahaaa
Code: