Mkome, yaani wewe na akili yako ulete machafuko mpaka mchome biashara za watu kisa siasa , unafikiria ingekuwaje kama mngeendelea wiki moja tu .. Kama una huruma , kasaidie wasiojiweza sio kuleta machafuko .Umejisikiaje baada ya kuandika hivi 🤦🏼
We kweli unatokea Tanga, maana umejua kunichambaMkome, yaani wewe na akili yako ulete machafuko mpaka mchome biashara za watu kisa siasa , unafikiria ingekuwaje kama mngeendelea wiki moja tu .. Kama una huruma , kasaidie wasiojiweza sio kuleta machafuko .
Narudia tena , mkome na ujinga wenu.
Msirudie tena ushamba wenu , kijana kuwa na akili hii nchi hatuna pakwenda wala visa hatuna . Tutailinda ,kuna ndugu zetu na familia zetu ..Yaani chama kimoja mchome biashara za watu , mbona mmeishia kutleta umaskini kwa watanzania wa hali ya chini , si mngeenda ikulu kufanya fujo hapo fresh .We kweli unatokea Tanga, maana hii michambo sio poa
×.........×Kuwa na KAKA BUMUNDA ni Fedheha, kuwa na DADA MSAGWAJI ESTA nako ni fedheha
Nape is just another useless sonofabitch. Usikubali akupotezee muda wako!Kwa yeyote aliyekusikia Leo ukichangia hoja kwenye bajeti (whatsoever) ya Wizara ya mambo ya nje umepiga mkwara Marekani wasiwajadili Kwa vile vyie ni Nchi huru? Uhuru wenu ndo uwanyime Uhuru wengine kujadili Mambo yao? Kujifafanya vipofu na viziwi wapumbavu àmbao mnatetea Unyama uliofanyika Oct 29 2025 ni ukatili gani huu?
Endeleeni kujikanyaga Dunia inawaona.
Wanajadiliwa NATO na kupigwa beat ndo ijekua bongo 🤣🤣🤣🤣Kwa yeyote aliyekusikia Leo ukichangia hoja kwenye bajeti (whatsoever) ya Wizara ya mambo ya nje umepiga mkwara Marekani wasiwajadili Kwa vile vyie ni Nchi huru? Uhuru wenu ndo uwanyime Uhuru wengine kujadili Mambo yao? Kujifafanya vipofu na viziwi wapumbavu àmbao mnatetea Unyama uliofanyika Oct 29 2025 ni ukatili gani huu?
Endeleeni kujikanyaga Dunia inawaona.