Leo naanza kampeni rasmi kumnadi mgombea wetu Lowassa 2020

falcon mombasa

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
9,186
9,288
Wakuu baada ya kukaa kimya muda mrefu kuugulia maumivu ya kutotendewa haki mgombea chaguo la wengi sir edward ngoyai L
Lowassa .

Usiku wa leo nimekata shauri hivyo nimeamua kuanza rasmi kampeni za kuelekea 2020 kumnadi kipenzi cha wengi almaarufu mzee wa maamuzi magumu.

Hii imekuja baada.ya kugundua viatu alivyovalishwa magufuli ni vikubwa mnoo,wavalishaji walisahau kuwa magufuli hakustahili viatu vikubwa hivyo,na hii imeanza kujidhirisha mapema ambapo tayari uwezo wa mungu wazee wa lumumba wameanza kupoteana wenyewe kwa wenyewe kama mungu mungu alivyoamua kuuporomosha utawala wa babeli.

Kwa upande wangu tangu magufuli alipopitishwa na chama chake sikuwahi kumkubali sababu huyu mtu tulianza kupata habari zake miaka kumi nyuma(rav4 nyekundu).

Namshukuru mheshimiwa membe almaarufu mbobezi nakuona kama umetumwa na mungu kuja kuuporomosha utawala wa babeli.utawala uliozoea kuoga sharubati na kufanya vibanzi kuwa kitu cha anasa.

Sasa imetosha naanza rasmi kampeni za kumnadi mgombea wetu wa ukawa mheshimiwa sir Edward Ngoyai Lowassa.
 
Kama Lowasa ameshindwa kuwa Rais katika uchaguzi wa mwaka 2015, sahau kabisa. 2020 tutaenda na Magufuli
 
wakuu baada ya kukaa kimya muda mrefu kuugulia maumivu ya kutotendewa haki mgombea chaguo la wengi sir edward ngoyai lowassa ,usiku wa leo nimekata shauri hivyo nimeamua kuanza rasmi kampeni za kuelekea 2020 kumnadi kipenzi cha wengi almaarufu mzee wa maamuzi magumu.

Mumekubaliana na Mungu kuhusu Afya ya Lowasa itakuweje kufikia hiyo 2020?
 
wakuu baada ya kukaa kimya muda mrefu kuugulia maumivu ya kutotendewa haki mgombea chaguo la wengi sir edward ngoyai lowassa ,usiku wa leo nimekata shauri hivyo nimeamua kuanza rasmi kampeni za kuelekea 2020 kumnadi kipenzi cha wengi almaarufu mzee wa maamuzi magumu. Hii imekuja baada.ya kugundua viatu alivyovalishwa magufuli ni vikubwa mnoo,wavalishaji walisahau kuwa magufuli hakustahili viatu vikubwa hivyo,na hii imeanza kujidhirisha mapema ambapo tayari uwezo wa mungu wazee wa lumumba wameanza kupoteana wenyewe kwa wenyewe kama mungu mungu alivyoamua kuuporomosha utawala wa babeli,kwa upande wangu tangu magufuli alipopitishwa na chama chake sikuwahi kumkubali sababu huyu mtu tulianza kupata habari zake miaka kumi nyuma(rav4 nyekundu).namshukuru mheshimiwa membe almaarufu mbobezi nakuona kama umetumwa na mungu kuja kuuporomosha utawala wa babeli.utawala uliozoea kuoga sharubati na kufanya vibanzi kuwa kitu cha anasa.sasa imetosha.naanza rasmi kampeni za kumnadi mgombea wetu wa ukawa mheshimiwa sir edward ngoyai lowassa

Nafikiri ungejaribu kuwekeza muda wako mwingi kwanza kwenye kujifunza kuandika na kuunda sentensi vizuri, yaani ujue ni wapi uweke herufi kubwa, wapi ndogo kwa mfano jina la mtu siku zote huanza na herufi kubwa, ukifuzu hapo ndiyo uhamie kwenye maswala mengine kama siasa n.k!
 
Hahahahahahaha ukitaka kuamini nchi inamhitaji Lowassa ona magufuli anavyohangaika na hiki kiinchi mara membe mara sitta yani kila mtu anaona anakosea lakini tumsaidie maana miaka mitano miinngi tulimkata Lowassa dodoma akaja kitaa wanyonge wakamchagua Lubuva akamkata tena mzee wa watu Lowassa katulia sarakasi haziishi maigizo kibaooo yani shida tupu
 
Ilianza: Chadema.........vyemaaaa

Ikafuata: Peopleeeees Poweeeeer ( hii tuliipenda wengi...ilitegemea umma)

Na sasa: Mabadilikooo Lowasaa.......Lowasa Mabadiliko.......( hii inategemea mtu mmoja)
 
Inawezekana sijafahamu Magufuli anahusika vipi na rav4 nyekundu....kumbukumbu zinaniambia miaka kumi nyuma Liyumba ndiye alikuwa bingwa wa kutuharibia dada zetu na hizo gari
 
Nafikiri ungejaribu kuwekeza muda wako mwingi kwanza kwenye kujifunza kuandika na kuunda sentensi vizuri, yaani ujue ni wapi uweke herufi kubwa, wapi ndogo kwa mfano jina la mtu siku zote huanza na herufi kubwa, ukifuzu hapo ndiyo uhamie kwenye maswala mengine kama siasa n.k!
We unanifuatilia sana kila post lazima ujilete,nishakwambia mara nyingi kaa mbali na mimi
 
We unanifuatilia sana kila post lazima ujilete,nishakwambia mara nyingi kaa mbali na mimi

Kumbe unanifahamu basi samahani, nimejibu tu bila ya kujua namjibu nani na nimekuwa nikifanya hivyo siu zote, sasa ikatokea tu kwamba labda nikajibu kila post yako, lkn halikuwa kusudio langu lkn mimi sikufahamu na wala sina ajenda yoyote ile na wewe, hivyo, kumradhi!
 
wakuu baada ya kukaa kimya muda mrefu kuugulia maumivu ya kutotendewa haki mgombea chaguo la wengi sir edward ngoyai lowassa ,usiku wa leo nimekata shauri hivyo nimeamua kuanza rasmi kampeni za kuelekea 2020 kumnadi kipenzi cha wengi almaarufu mzee wa maamuzi magumu. Hii imekuja baada.ya kugundua viatu alivyovalishwa magufuli ni vikubwa mnoo,wavalishaji walisahau kuwa magufuli hakustahili viatu vikubwa hivyo,na hii imeanza kujidhirisha mapema ambapo tayari uwezo wa mungu wazee wa lumumba wameanza kupoteana wenyewe kwa wenyewe kama mungu mungu alivyoamua kuuporomosha utawala wa babeli,kwa upande wangu tangu magufuli alipopitishwa na chama chake sikuwahi kumkubali sababu huyu mtu tulianza kupata habari zake miaka kumi nyuma(rav4 nyekundu).namshukuru mheshimiwa membe almaarufu mbobezi nakuona kama umetumwa na mungu kuja kuuporomosha utawala wa babeli.utawala uliozoea kuoga sharubati na kufanya vibanzi kuwa kitu cha anasa.sasa imetosha.naanza rasmi kampeni za kumnadi mgombea wetu wa ukawa mheshimiwa sir edward ngoyai lowassa
baada ya matokeo nchi nzima ilikua kwenye simanzi, matokeo yalipotangazwa palikua hamna shamrashamra kama mwaka 2005!!
 
Kama Lowasa ameshindwa kuwa Rais katika uchaguzi wa mwaka 2015, sahau kabisa. 2020 tutaenda na Magufuli
Sio rahis kama unavofikiri, nyie washkaji mmeukwaa huu ushindwi kimizengwe sababu hakuna katiba mpya a.k.a katba ya warioba
Subiri tusuke katiba mpya muone kama mtashnda kimabavu kuptia maji ya washawasha na mabomu
 
Back
Top Bottom