figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 27,899 Reaction score 63,523 Nov 5, 2011 #1 eid ndo hii tushaianza.karibuni washikaji...maisha yenyewe ndo haya haya na raha jipe mwenyewe.maisha matamu lakini mafupi.tupo hapa ttc chang'ombe kama vipi njoo tusherehekee eid.yaani hii ni jana na leo na kesho.mia
eid ndo hii tushaianza.karibuni washikaji...maisha yenyewe ndo haya haya na raha jipe mwenyewe.maisha matamu lakini mafupi.tupo hapa ttc chang'ombe kama vipi njoo tusherehekee eid.yaani hii ni jana na leo na kesho.mia