Bolt kuna gari, kuna boda boda, kuna bajaj, ni uchaguzi wako unataka kipi kwenye app ya bolt. Na ni cheap tu kurequst bodaboda kupitia bolt maana huna haja ya kuanza bishana bei na dereva boda
Hapo kwenye bei ndio napoipendea bolt, mimi huwa naangalia gharama kwenye bolt alafu nachukua boda kawaida kama ipo karibu, akishindwa bei narequest chap.
Bolt kuna gari, kuna boda boda, kuna bajaj, ni uchaguzi wako unataka kipi kwenye app ya bolt. Na ni cheap tu kurequst bodaboda kupitia bolt maana huna haja ya kuanza bishana bei na dereva boda
Watu wa Dar buana. Malalamiko kila siku foleni barabarani mkifika kazini mmeshachoka tayari. Kuamka saa 10 alfajiri kulala saa 5 usiku. Halafu kuna watu bado wanatamani wafanye kazi Dar.