Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
Kadi nyekundu aliyopewa Luis Nani katika mchezo dhidi ya Real Madrid ilikuwa nongwa. Manchester walichapwa 2-1 nyumbani kwao Old Trafford na kutupwa nje ya Michuano ya Klabu Bingwa Barani Ulaya. Walishindwa kulinda bao lao.Likasawazishwa na wakaongezwa. Kisingizio cha kushindwa kulinda goli na hata kufungwa kilikuwa ni kadi ya Nani.Kama ilivyo kawaida ya Waingereza kutafuta visingizio.
Leo,Man U walicheza na Chelsea katika Michuano ya FA. Hadi dakika ya 11,Man U walikuwa wakiongoza kwa mabao 2-0 kwa mabao ya Chicharito na Rooney. Lakini mwisho wa mchezo,mabao ni 2-2. Chelsea wamesawazisha mabao yote kupitia kwa Hazard na Ramires.
Leo pia kuna kisingizio? Siamini. Man U ni mbovu.That is a plain fact. Na Madrid ni zaidi kwao..