Sio mbongo huyo.Inawezekana akawa mbongo kwa nationality ila si ethnic background mkuu mtoto kitambo anaogea maji ya kwa trump
Hahah si ndo kabisa angeanza mbwembwe za ,"da f**k is wrong with u nigg.r? U retard or sth? Get da f**k outta my face right now before i call the cops.."Uzembe wako tu mkuu...ungeanza na syle ya kujichekesha chekesha tuu kama mwehu vile...
Hahah mkuu inaonekana una husudu sana mambo ya kuchimba gesiDah... Pole, kuwa mwanaume ni shida, ila kwa kua sijaona mkia siwezi mpa pointi maana mimi huwa naanza kupima mkiani
Unarushwa kwenye maji tu, si unajua watu hawataki ujinga.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu si ningeitiwa mwizi tena
Ngoja kesho natenga buku tano nzima kwaajilu ya kwenda na kurudi na pantoni mida ya mchana, lszima ntamwotea tuDon alishindwa hata kuji (brother sugarcane )mrembo akamkosa sasa awahi tu kwa Ras japo cha kuombea maji.
Hahaha tawire mkuuKweli wewe unataabu! Eti mabinti. Huyo mtu na mama yake Bwana! Na uache tabia ya kukodolea macho mali ya mutu utango'lewa macho bila kipooza maumivu.
Mia 2 tu mkuuHivi bei ya kuvuka pantoni ni kiasi gani vileeee?????
Mkuu mbona unataka kuingilia milki yangu?Mkuu nifanyie manyanga sasa kwa huyo mwenye simu..
Pumzika mkuuSasa geuza hiyo picha, kama ungekuwa ni wewe halafu yeye amekupiga picha na kurushia kwenye mitandao yao angesema leo kaona Gorilla mmoja akichezea simu sijui na kamfundisha kuwasha simu!
Ila wewe unakuja kumsifia hapa, badala ya kusifia dada zetu wa Kitanzania unakwenda kupoteza muda kusifia takataka asiyekufahamu na wla asiyekuthamini ...
Duh! Wanasema Ras Simba ana uwezo huo jaribu kumuona ndugu.
Umeshachelewa niko nae gheto!Mkuu mbona unataka kuingilia milki yangu?
Apia??Umeshachelewa niko nae gheto!
Uzuri somo la kuogelea nilifaulu chukwaniUnarushwa kwenye maji tu, si unajua watu hawataki ujinga.
we kula kwa macho tu mshana kesha nifanyia mambo sasa hivi hadi natiririka ung'eung'e!Apia??
Daaah kweli donda la kichwa mkaguzi mkonowe kula kwa macho tu mshana kesha nifanyia mambo sasa hivi hadi natiririka ung'eung'e!
Ntoe no. Yake mkuuNilishakala muda mkuu!!!
Ndio hiziNdio akili za viwanda hizi?
Three finger brown luchesseNgoja kesho natenga buku tano nzima kwaajilu ya kwenda na kurudi na pantoni mida ya mchana, lszima ntamwotea tu