Tarehe 20 oktoba 2022 Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alishiriki maadhimisho ya miaka 25 ya Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF), yaliyofanyika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam, na kutoa tuzo kwa baadhi ya waanzilishi na wadau.
Katika tukio hilo Rais Samia alisisitiza umuhimu wa kuondoa mila na desturi kandamizi, kutathmini sheria zilizopo na kuhakikisha sheria zinapatikana kwa lugha ya Kiswahili ili kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu haki zao.
View attachment 3694458