Mkuu,
Kimsingi una hoja nzuri sana...
Lakini labda niweke tofauti hoja yako...
Ungeanza kwa kusema wewe utakuwa MAHALI FULANI..then ndo wengine wangehamasika kukwambia watakakokuwa...
mkuu,
kimsingi una hoja nzuri sana...
Lakini labda niweke tofauti hoja yako...
Ungeanza kwa kusema wewe utakuwa mahali fulani..then ndo wengine wangehamasika kukwambia watakakokuwa...